top of page
Phytoscience Mwanza Semina
Sat, 23 Sept
|ISAMO HOTEL
Shuhuda na Semina juu ya bidhaa za Phytoscience. Semina inafanyika tarehe 23 Septemba 2017 saa nane mchana
Registration is Closed
See other events

Time & Location
23 Sept 2017, 14:00
ISAMO HOTEL, Mwanza, Tanzania
About the event
ISAMO HOTEL inatizamana na STEND ya dalada za kwenda IGOMBE. muda saa 8mchana Mtu anayetoka Airport, Ilemela, Kirumba, Kitangiri, Bwiru na Kilimahewa, apande daladala zinazo kwenda Buhongwa na ashukie stand ya daladala IGOMBE. Mtu anayetokea Kisesa, Igoma, Nyakato, Buzuruga apande daladala zinazo kwenda Buhongwa na ashukie kituo cha SAHARA. Mtu anayet okea Bubongwa, Nyegezi, Butimba, Malimbe nk. Apande daladala za Airport, Ilemela au Malimbe na ashukie kituo cha Posta.
bottom of page